lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Waungwana karibuni maoni yenu ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo wa "hela" wa msanii Ali kiba?
Nimeshindanisha nyimbo zao na wala sijawafananishaHii dharau..
King kiba unamfananisha na hamisa
Utakuwa huendi mbinguni sio kwa kumshusha hvyo king KibaWaungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo wa "hela" wa msanii Ali kiba?
Hili ni tusiWaungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo wa "hela" wa msanii Ali kiba?