lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Waungwana karibuni kwa maoni yenu. Ni matumaini yangu nyimbo zote mbili mmeshazisikia sasa ni wakati kutoa maoni yenu je ni wimbo upi umekubamba zaidi kati ya Hamissa Mobetto "madam hero" na wimbo wa "hela" wa msanii Ali kiba?