Wimbo wa Ali Kiba umetumika kuandika Hukumu Mahakamani

Wimbo wa Ali Kiba umetumika kuandika Hukumu Mahakamani

Sio kujipendekeza. Kwenye uwanja wa Sheria inaruhusiwa ku refer jambo au case yoyote ya nyuma yenye maudhui yanayofanana na case iliyopo mbele ya hakimu.
Elimu muhimu mkuu[emoji38]
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Haya mambo haya, unaweza jiapiza huwezi kuua kisa mapenzi halafu wewe ndo ukauawa sasa.
 
Huyo Jaji Mahimbali ni kichwa sana. Matunda ya Kasita Seminary hayo ambayo yametapakaa nchi nzima kwenye ulingo wa sheria.
 
Kumbe mwamba ni mseminari.

The gentleman is brilliant. Ukiisoma ile hukumu between lines utagundua kwamba kichwa chake kimejaa madini. Kwa kifupi anajua sana.

Kongole kwake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom