Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #21
Uko sahihi kabisa mkuu.Sio kujipendekeza. Kwenye uwanja wa Sheria inaruhusiwa ku refer jambo au case yoyote ya nyuma yenye maudhui yanayofanana na case iliyopo mbele ya hakimu.
Elimu muhimu mkuu[emoji38]
[emoji3][emoji3]Sawa Dogoo!!Naona na wewe umeamua kujipakulia minyama!!hutaki cheza mbali kabisaa yaanii!!
[emoji28][emoji28]Haya mambo haya, unaweza jiapiza huwezi kuua kisa mapenzi halafu wewe ndo ukauawa sasa.
Huyo Jaji Mahimbali ni kichwa sana. Matunda ya Kasita Seminary hayo ambayo yametapakaa nchi nzima kwenye ulingo wa sheria.
Kumbe mwamba ni mseminari.Haya mambo haya, unaweza jiapiza huwezi kuua kisa mapenzi halafu wewe ndo ukauawa sasa.