Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Baada ya Alikiba kuachia ngoma bora ya mwaka huu na mwaka kesho. Ngoma ambayo imekua gumzo Mpaka Sasa kwa kuweza kutikisa Mitandao ya kijamii na vituo vya Redio

Wimbo huo Mashabiki wengi wa Muziki hasa wanao Mshabikia Diamond wameonesha Hasira zao Kwan wanasema wimbo huo alikiba kamuimba Diamond na kumuita muuza siso na kwamba alikiba hachezi na Dada zake Bali ANACHEZA na Dada zao

Mpaka Sasa Diamond hajaongea kitu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
sina team lakini mediocre ni aibu ya TAIFA, narudia tena ni;
aibu
aibuu
aibuuu
aibuuuu
aibuuuuu
aibuuuuuu
aibuuuuuuu
aibuuuuuuuu
aibuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuuu
ya taifa
Ongeza hapo aibu ya kiwango Cha SGR na HD na PHD yaani hakuna msanii/mwanamziki pale .
 
Kwahiyo akiimba kiba kaishiwa akiimba diamond ni sawa embu acheni mambo yenu ya utimu kikubwa watu wanataka burudani
 
Tushike lipi? Kuna mwingine anamsifia huko!

MEDIOCRE je diamond Ata respond vip???
 
Kwahiyo akiimba kiba kaishiwa akiimba diamond ni sawa embu acheni mambo yenu ya utimu kikubwa watu wanataka burudani
Tatizo sio kuimba tatizo kaishiwa yaani kakosa vya kuimba, si wanasemaga anaelimisha jamii ko kakosa kuzungumzia hata Mambo ya uchaguzi duuuuuuh tumuombee but hatutoi Kiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alie Anza kutafuta back up ni uyo domo MEDIOCRE alipo tafuta Kiki kwa kumuimba Alikiba kwenye remex ya fid q

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wimbo wa miaka 3 nyuma ndo unauzungumzia, alikuwa wapi..? Sema tukubali kaishiwa ujue amezeeka na Ana miaka 45+ sasa utegemee ubongo wake haujachoka[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…