Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #21
Fact halafu ndio anajiita king yaani Hadi aibu naona mwenyewe [emoji85][emoji85][emoji85]Anajiaibisha mbele ya watoto wakina Mario
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact halafu ndio anajiita king yaani Hadi aibu naona mwenyewe [emoji85][emoji85][emoji85]Anajiaibisha mbele ya watoto wakina Mario
Maybe ukienda WCB unaweza kuwa na amaniDuh kama kuna masiha ya pili baada ya kifo nisizaliwe Africa! Aibu sana inawezekana rangi nyeusi ni chimbuko la uchawi
Okey Ali Kiba kaishiwa kabisa hana jipya (ingawa bado sijasikiliza hiyo nyimbo)Nenda youtube ukaangalie ilo Boko kaishiwa.
Daaaaaah zuchu atakimbiza sana kwa namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mmhhh una hasira sana aisee.
tatizo ni huo utopolo au kuna lingine?
Yaaani kaishiwa na ameflop sana walai afadhali angenda Mombasa kulea mke na mtoto.Ni utopolo kabsa
tayari anakimbiza na ile nyimbo yake ya CCM 🤣Daaaaaah zuchu atakimbiza sana kwa namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa ndio ulipo kosea...Fact kaka ameshazeeka sasa anaimba utumbo gani daaaaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ongeza hapo aibu ya kiwango Cha SGR na HD na PHD yaani hakuna msanii/mwanamziki pale .sina team lakini mediocre ni aibu ya TAIFA, narudia tena ni;
aibu
aibuu
aibuuu
aibuuuu
aibuuuuu
aibuuuuuu
aibuuuuuuu
aibuuuuuuuu
aibuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuuu
ya taifa
Atakimbiza kinini?Daaaaaah zuchu atakimbiza sana kwa namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu watakuja kukuvamia wenye team yaoHuyu aachane na muziki ulishamshinda
Taarabu plus michambo[emoji23][emoji23][emoji23]Wimbo mzuri acheni uchawi
Tushike lipi? Kuna mwingine anamsifia huko!Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?
Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na mda wake,leo ndo nimekubali huu msemo.
Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.
unajua,kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamensahau huyu mzee wetu Alikiba
So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni UJINGA,na rudia UJINGA pure Kama mediocre yenyewe.
Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.
Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
Ndo ubunifu huo kama unavoona wengine wanavoimba matusiTaarabu plus michambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo sio kuimba tatizo kaishiwa yaani kakosa vya kuimba, si wanasemaga anaelimisha jamii ko kakosa kuzungumzia hata Mambo ya uchaguzi duuuuuuh tumuombee but hatutoi Kiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo akiimba kiba kaishiwa akiimba diamond ni sawa embu acheni mambo yenu ya utimu kikubwa watu wanataka burudani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wimbo wa miaka 3 nyuma ndo unauzungumzia, alikuwa wapi..? Sema tukubali kaishiwa ujue amezeeka na Ana miaka 45+ sasa utegemee ubongo wake haujachoka[emoji85][emoji85][emoji85]Alie Anza kutafuta back up ni uyo domo MEDIOCRE alipo tafuta Kiki kwa kumuimba Alikiba kwenye remex ya fid q
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app