Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Mods hivi kwanini mnaacha nyuzi za kipuuzi kama hizi na kufungia nyuzi zenye madini kule siasani?

Sasa hapa tunajadili nini .? HiI ndo sababu wakongwe now days wameondoka kidog kupumzika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Mods watakusaidia Nini kwa chuki zako za wazi wazi, Mods huu Uzi upo kwa ajili ya kumkosoa msanii ambae previous alikuwa anaimba nyimbo nzuri na za kuelimisha , but nowdays anaimba tarabu na mipasho.

Ok kijana, kalale Kama imekuchoma na relax[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mbona wimbo mzuri tuu. Hizi timu zenu ni upimbi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ko unafurahia msanii anayejiita king kutuimbia mapambiao, taarabu na mipasho eeeeeh...?

Kujisifu kwenda marekani, wakati kina AY, Diamond wako kimya amabao Kule ni Kama kwao eeeeeh...?

Tukubali kaimba utopolo ko akalee mke na mtoto Mombasa.
 
Abby skills ? AT? Nimeishia hapo.
Wasted sperm hii ..
Usiniquote tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe umekubali ni utopolo wa kiwango Cha PHD, SGR na HD

N. B:WEWE ni wasted sperm square sawa dogo.
 
Wimbo sijauona Youtube wala sifikirii, nasema sitaongeza view pale abaki na utoto wake. Nitausikia wimbo wake baadae redioni/tv/bodaboda ukipigwa.

#TOKOMEZAKIKI
 
Japo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?

#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
Hawaoni miondoko alivyobadilika wao wanaangalia kamponda nan ilo ndio tatzo wameweka utim kizur kizur tu utim pemben kidogo
 
Kuimbwa kaimbwa Diamond ila kuumia ataumia Harmonize,manake hawa jamaa kama parasite bila Diamond basi mziki wao hausogei.

Kiba kaamua kuchangamka maana dogo Harmonize nae katoa kushoto kulia,hujanikomoa,hainishtui zote hazijajibiwa ila akafanikiwa kupata kiki,brother Kiba kaona dogo anataka kuchukua nafasi yake ya kulinganishwa na Diamond nae katoa dongo.

Nahisi huyu nae hatojibiwa na Mondi inapita kimya kimya.
 
Kuimbwa kaimbwa Diamond ila kuumia ataumia Harmonize,manake hawa jamaa kama parasite bila Diamond basi mziki wao hausogei.

Kiba kaamua kuchangamka maana dogo Harmonize nae katoa kushoto kulia,hujanikomoa,hainishtui zote hazijajibiwa ila akafanikiwa kupata kiki,brother Kiba kaona dogo anataka kuchukua nafasi yake ya kulinganishwa na Diamond nae katoa dongo.

Nahisi huyu nae hatojibiwa na Mondi inapita kimya kimya.
 
Hayo ya nini cha kuimba, simo. Mimi yangu ni maana ya mediocre.
Kweli Alikiba now ni wakuimba mapambio na mipasho... [emoji85][emoji85][emoji85]

Kaishiwa eti jamani ,Na kwa hali hii kweli Diamond The. G O. A. T atambuluza kisawasawa mpaka akauze mitumba kariakoo.
 
Daaaaaa ni wanaume wanaocomment humu kupinga juhudi za mwanaume mwenzao au kuna udada mwingi jf aseeee ....just imagine mwanaume kuna vitu unacomment yani mpka ukiwaza ni mtoto au nanii ....Acha wivu usiokuwa na maana na huna kitu ,,MTU wa data za buku au mitano unakuwa na wivu wewee utafanikiwa siku ukibakwa tuuu
 
Chuki?
Ni Mimi au wewe Dada?
Haya panua nikukojoleee sasa
 
Kigoma dependent aka innocent dependent
 
Alikiba hii ngoma yake ni ya hovyo,lakini haiondoi ukweli kuwa bado anafanya muziki mzuri..

Interview zake ni pasua kichwa..hajui kujielezea kabisa huyu jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…