Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #81
Sawa kasikikize na wakwenu hapa hatutaki huo utopolo sawa kijana.Mediocre ni fire japo sijaiskiliza,ukipanic kajiue bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kasikikize na wakwenu hapa hatutaki huo utopolo sawa kijana.Mediocre ni fire japo sijaiskiliza,ukipanic kajiue bro.
Sisi ni wageni hapa sio?Ukijua kusoma na kuelewa ndo urudi Jamii forum inaonekana haujanielewa ok , hata hatutaki utufungulie nyuzi maana zitakuwa za utopolo fc Kama liwimbo ili la kijinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Mods watakusaidia Nini kwa chuki zako za wazi wazi, Mods huu Uzi upo kwa ajili ya kumkosoa msanii ambae previous alikuwa anaimba nyimbo nzuri na za kuelimisha , but nowdays anaimba tarabu na mipasho.Mods hivi kwanini mnaacha nyuzi za kipuuzi kama hizi na kufungia nyuzi zenye madini kule siasani?
Sasa hapa tunajadili nini .? HiI ndo sababu wakongwe now days wameondoka kidog kupumzika
Ok wakaribie yaani wataisoma namba wote team mediocre=ujinga/janja janjanawakaribisha sana[emoji23]
Ko unafurahia msanii anayejiita king kutuimbia mapambiao, taarabu na mipasho eeeeeh...?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe umekubali ni utopolo wa kiwango Cha PHD, SGR na HDAbby skills ? AT? Nimeishia hapo.
Wasted sperm hii ..
Usiniquote tena
Mbona unaendelea kuni quote wakati umesema ni sikuquote au maada umeipenda na kuielewa, usione hiyana tumkomboe kingi wetu anazama.Sisi ni wageni hapa sio?
Wimbo sijauona Youtube wala sifikirii, nasema sitaongeza view pale abaki na utoto wake. Nitausikia wimbo wake baadae redioni/tv/bodaboda ukipigwa.Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?
Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na mda wake,leo ndo nimekubali huu msemo.
Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.
unajua,kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamensahau huyu mzee wetu Alikiba
So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni UJINGA,na rudia UJINGA pure Kama mediocre yenyewe.
Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.
Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
Hahahah kanyimbo kabovu sanaOk wakaribie yaani wataisoma namba wote team mediocre=ujinga/janja janja
Hawaoni miondoko alivyobadilika wao wanaangalia kamponda nan ilo ndio tatzo wameweka utim kizur kizur tu utim pemben kidogoJapo kaimba vijembe...ila ngoma kali kabadilika sana humu Ali ila sijaelewa nini kilimsukuma kuimba yale au majamaa wamemchokoza tena?
#Ntabiri ngoma itashika namba moko on trending kwa sababu kali
Kuimbwa kaimbwa Diamond ila kuumia ataumia Harmonize,manake hawa jamaa kama parasite bila Diamond basi mziki wao hausogei.Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?
Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na mda wake,leo ndo nimekubali huu msemo.
Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.
unajua,kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamensahau huyu mzee wetu Alikiba
So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni UJINGA,na rudia UJINGA pure Kama mediocre yenyewe.
Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.
Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
Ngoja nikausikilize. Nimuongezee traffic King Kiba.
Kweli Alikiba now ni wakuimba mapambio na mipasho... [emoji85][emoji85][emoji85]
Kaishiwa eti jamani ,Na kwa hali hii kweli Diamond The. G O. A. T atambuluza kisawasawa mpaka akauze mitumba kariakoo.
Chuki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Mods watakusaidia Nini kwa chuki zako za wazi wazi, Mods huu Uzi upo kwa ajili ya kumkosoa msanii ambae previous alikuwa anaimba nyimbo nzuri na za kuelimisha , but nowdays anaimba tarabu na mipasho.
Ok kijana, kalale Kama imekuchoma na relax[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kigoma dependent aka innocent dependentDaaaaaa ni wanaume wanaocomment humu kupinga juhudi za mwanaume mwenzao au kuna udada mwingi jf aseeee ....just imagine mwanaume kuna vitu unacomment yani mpka ukiwaza ni mtoto au nanii ....Acha wivu usiokuwa na maana na huna kitu ,,MTU wa data za buku au mitano unakuwa na wivu wewee utafanikiwa siku ukibakwa tuuu