Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

NI AJAAAABU KWEL KWELI!!!.........

inasemwa kuwa eti nyimbo mbovu, msanii mbovu lakini cha ajabu leo ni siku ya tatu au nne MMAMA umekomaa katika keyboard kuikandia nyimbo hiyo tu........wenye akili huru wameshang'amua kitu hapa; kuna mateso mahali bila shaka.
Daaaaaah inaonekana kweli umenona wewe kalale ule utopolo[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom