warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kabisa, she can singUkiachilia huyu dada kua na kichwa kama TV chogo... Huu wimbo ni mzuri and she can sing.
Unlike yule gigy mafeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, she can singUkiachilia huyu dada kua na kichwa kama TV chogo... Huu wimbo ni mzuri and she can sing.
Unlike yule gigy mafeza.
Sana yani sikutegemea kabisa kama ataimba vzur vileMwanzo wake mzuri sana,kajitahidi
Mhhh! mzaramo ,umeusikiliza??!huu wimbo nilipousikia sikujua ni nani kaimba,nikawa katika pitapita zangu nkajua amberlulu ndo kaimba!Akomae tu maana hata Shilole ajui kuimba kama yeye
ahaaa ahaaa usinitamanishe mkuu.Mhhh! mzaramo ,umeusikiliza??!huu wimbo nilipousikia sikujua ni nani kaimba,nikawa katika pitapita zangu nkajua amberlulu ndo kaimba!
Mwanzo nilibisha,nikakaa nikausikikiza,,ameimba vizuri sanaaa!ile sauti nzito ya 'yo malover lover'iko safi kabisa
Usikilize tena utashawishika lol
We unaongea nini chuja Mchele na pumbaHebu acheni masikhara, huu wimbo siyo mzuri kama mnvyotaka kutuaminisha. Ona hii kitu; sauti na ile melody iliyotumika unataka kuuweka wimbo wake kwenye nafasi ya ngapi kwenye top ten?
Achana na hizi top ten za kubebana, utamuweka namba ngapi kuna Nandy, Maua, Mwasiti, Lulu, Natasha, Dayna, Lina, Rosa Lee, Chemical, Witnesz?
Hata tukimchukua Besta wa Nakupenda aliyoimba na Dully bado huu wimbo haufui dafu...
Msimuongopee, kama anataka muziki ana safari ndefu na huu wimbo haumhakikishii kuianza hiyo safari, lazima ujue kipaji chako halisi ni kipi, usilazimishe, Amber Rose katoa nyimbo lakini ngapi ushazisikia zikiwa kwenye chart? Sasa hivi kaamua kukausha nashauri bi dada ajifue au arudi kwenye maisha ya kua video queen.
Woman fingers aka bamiahahaaaaaaa watu mna maneno, kichwa kama nini khaaaaa.
ndio.. wimbo wa Taifa!! ila kelele sipigi Kama AmbeeLulu wenuWewe unajua kuimba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio.. wimbo wa Taifa!! ila kelele sipigi Kama AmbeeLulu wenu
Wewe umeandika nini!? Mbona kama ugoro hivi? Kwa akili zako fupi unadhani Nigeria wote wanaimba kama Yemi.Gosh jamani ivi when will Tz face the reality and quit the drama scenes? When will Tz aknoweledge music is all about Vocal and yeah powerful vocals? A time when u here a musician and u go wow! Wow he /she sings wonderful! Tunajidanganya and always wa Tz hatupendagi kuambiwa ukweli! U think with such Musicians and with such vocals anaweza kuwa accepted continental wise? To compete with the might Naijas queens the likes of Chidima! Tiwa savage! Yemi alade! say say!Waje! Simi! u just c on Yutube the way Diaspora loves one singers VOCALS despite of the language in use!
Comeone a time has come for those who sleeps and a subui start to confes kuwa jana i had maono kuwa Mungu anataka niwe mwanamuziki! Cut the Drama fellow country men stop the Parambulations! Face the reality! Let the realest vocalisist do their proffesionalism in Tz the likes of LINAH/MALAIKA/RECHEL/MWASITI/RUBY/ANGEL BENARD/MAUWA SAMA/VANESA MDEE/DYNA NYANGE ETC! PLSE no more Premonitions for them Marauding singers!
Huyo NATASHA ndo nani..Hebu acheni masikhara, huu wimbo siyo mzuri kama mnvyotaka kutuaminisha. Ona hii kitu; sauti na ile melody iliyotumika unataka kuuweka wimbo wake kwenye nafasi ya ngapi kwenye top ten?