Wimbo wa "Buga" ni hakunaga ili ulioboreshwa

Wimbo wa "Buga" ni hakunaga ili ulioboreshwa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Yes ni kweli nyimbo ya buga ni hakunaga iliyoboreshwa wengi watapinga ila ndo ukweli
Imeboreshwa kwenye kugha vinanda kidogo ila beat na maudhui ni yale yale

Kiufupi nyimbo zetu zinaibiwa sana Ila hatusemi ila sie tukiboresha zao maneno mengi



 
Sema Suma aimbi siku hizi. Angedai mpunga mrefu.
 
Back
Top Bottom