Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .

Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .

Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.

Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
 
Umekurupuka mbona akina ngwasuma walikua wanataja mapapa na mapedeshee haukuumia kama alivyotajwa Magufuli na makonda.
 
Halafu hayo mapapaa na mapedeshee yakitajwa kwenye wimbo yananyanyuka vitini na kuwamwagia fedha waimbaji
 
mkuu punguza jaziba twende taratibu hiyo yope ni ya mwaka gani inayowataja hao watu?
 
mkuu punguza jaziba twende taratibu hiyo yope ni ya mwaka gani inayowataja hao watu?
Mkuu kwenye ule wimbo diamond anasema napiga yope huweeeeezii watu washaujua Ila jf siunaijua wajuaji wengi
 
Nilisikitika kuambiwa na rafiki yangu wa Karibu kuwa aliyekuwa naibu rais sasa analima mbogamboga Arusha na anaishi Njiro
 
Oya acha ungese bhasi wewe jamaa !! Yope gani unazungumzia wewe
 
😅😅😅😅😅😅 Mpaka magufuli afike mbinguni atakuwa amechoka sana.
 
Nilisikitika kuambiwa na rafiki yangu wa Karibu kuwa aliyekuwa naibu rais sasa analima mbogamboga Arusha na anaishi Njiro
Yaani amerudi kule kwa maadui zake wa raisi kakimbia dar na dodoma na South
 
Kumbe ni yule aliyesemaga yeye anapata raha kuliko watu wote duniani
 
Back
Top Bottom