Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

Wimbo wa Diamond Baba Lao unatufundisha maisha ya mwanadamu sio milele

We jamaa, hiyo Yope inayowataja Makonda na Magufuli ilitoka mwaka gan?

Acha kutuchanganyia madesa... Sio kila mtu lazima aanzishe uzi, wengine mbaki km wasomaji tu
 
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .

Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .

Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.

Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
Wewe utaishi milele?
 
Back
Top Bottom