Diamond - Bum Bum
Orezi - You Gorrit
mchiz amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa west huko,bumbum beat yke imeongezewa vionjo kidogo tuu tuddy ameopy kutoka nigeria sikiliza you garrit ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu...
heading yako ilitakiwa hivi; diamond utaendelea kucopy kazi za wenzako mpaka lini?
subiri wakata viuno wake waje hapa uitwe hater.
heading yako ilitakiwa hivi; diamond utaendelea kucopy kazi za wenzako mpaka lini?
subiri wakata viuno wake waje hapa uitwe hater.
ww si umetoka kulalamika na kulilialia kwa mods kuwa thread zinazomhusu Diamond zimekuwa nyingi hivyo ziunganishwe, lakin bado na hii thread unataka ingeandikwa sijui "Diamond kacope"
upo timamu kweli?
Is it copying or sampling?
Sampling kwa beat ni kitu cha kawaida after all bongo hakuna beat mpya... kukopi wimbo ndio ishu sio beat
Sampling kwa beat ni kitu cha kawaida after all bongo hakuna beat mpya... kukopi wimbo ndio ishu sio beat
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria.
Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu.