Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

Wimbo wa Diamond ''Bum bum'', producer ka-copy beat

gst

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
34
Reaction score
11
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria.

Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu.

Diamond - Bum Bum

Orezi - You Gorrit
 
Last edited by a moderator:
Bongo fleva mwisho wake Chalinze. I personally hate that genre of music, watu hawako talented, yet mtu anajiita mwanamuziki.
 
mkuu fananisha Wanitamani ya belle 9 na orez you garrit.
 
sisi kucopy sijui tutaacha lini..................hili ni janga la taifa
 
mchiz amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa west huko,bumbum beat yke imeongezewa vionjo kidogo tuu tuddy ameopy kutoka nigeria sikiliza you garrit ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu...

heading yako ilitakiwa hivi; diamond utaendelea kucopy kazi za wenzako mpaka lini?

subiri wakata viuno wake waje hapa uitwe hater.
 
heading yako ilitakiwa hivi; diamond utaendelea kucopy kazi za wenzako mpaka lini?

subiri wakata viuno wake waje hapa uitwe hater.

Hahaha duh mi chichemi,:what:
 
heading yako ilitakiwa hivi; diamond utaendelea kucopy kazi za wenzako mpaka lini?

subiri wakata viuno wake waje hapa uitwe hater.

ww si umetoka kulalamika na kulilialia kwa mods kuwa thread zinazomhusu Diamond zimekuwa nyingi hivyo ziunganishwe, lakin bado na hii thread unataka ingeandikwa sijui "Diamond kacope"

upo timamu kweli?
 
Diamond - Bum Bum

Orezi - You Gorrit
 
Last edited by a moderator:
Kuna ufanano flani aise hasa beat watu sio creative kabisa nalo ni tatizo copy and paste
 
ww si umetoka kulalamika na kulilialia kwa mods kuwa thread zinazomhusu Diamond zimekuwa nyingi hivyo ziunganishwe, lakin bado na hii thread unataka ingeandikwa sijui "Diamond kacope"

upo timamu kweli?

chizi siku zote anaamini walio timamu ndio hawana akili, pole sana mrs diamond.
 
Sampling kwa beat ni kitu cha kawaida after all bongo hakuna beat mpya... kukopi wimbo ndio ishu sio beat

Huwezi kusample 16bars braza...hiyo ni copying.... sampling ni tofauti.... unaweza ukachukua kionjo 2bars au 3.... unaendelea .... ila from mwanzo to mwisho.... hiyo siyo sampling.... tafuta pakudanganyia.... tumeshinda sana mastudio brazza...
 
Sampling kwa beat ni kitu cha kawaida after all bongo hakuna beat mpya... kukopi wimbo ndio ishu sio beat

nakubaliana nawewe asilimia 500% mziki ni ule ule, na hii ndo generation ya sample hizi, ukienda kinyume na hapo kwenye generation hii bas tegemea kukaa njaa.. mfano madee katoka kwenye hip hop kaingia kwaito ambayo amesample beat had style ya kuimba kutoka kwa madiba,Hiyo yote ni kucheck watu wanataka ladha ip ya midundo, na sasa amejenga nyumba full!!
 
Mchizi amesema ooohhh,hii nyimbo bongo haitufai inatakiwa West huko,bumbum beat yake imeongezewa vionjo kidogo tu, Tuddy amecopy kutoka Nigeria.

Sikiliza ''you garrit'' ya orezi na bumbum ya uncle mnipe majibu.

Mpe support kijana wa watu wivu hauna tija zaidi zaidi utaishia kuumia roho tu mwenzako ndio huyo anazidi kuchanja mbuga....na wewe fanya yako ya kukopi tutakupa support tu usiogope.
 
Back
Top Bottom