Wimbo wa Diamond ft. P.Square unakuja

Comrades salaam,

Yule Mwanamuziki Machachari Tanzania, East Africa na Africa nzima kwa ujumla, anategemea kushusha heat song alilowashirikisha P. Squire muda wote kuanzia sasa..

Msindani huyo wa Tuzo za BET ambaye kila dalili za kunyakua Tuzo hiyo zinachugulia mlangoni anategemewa kushusha kitu kikali kuliko NANA, kikali kuliko UTANIPENDA na nyinginezo

Wapenzi wa Muziko mnatakiwa kutega sikio zenu Simba wa Africa akitegemewa kuunguruma.

Hii ni kwa mujibu wa EAST AFRICA TV

BACK TANGANYIKA
 
Mbona tuliambiwa hao P.Squire sijui wamevunjika vipande viwili? Au ilikuwa ni kick ya kutafuta umaarufu zaidi.
 
Ninapo ona mtu ana upatia kick wimbo hata kabla ya kutoka
Huwa naamini ni moja ya liwimbo libaya kuliko za awali

Umesha nishusha mizuka mkuu
 
Utatusaidia vipi kumjua Mungu wetu?
Itatusaidia vipi kimaadili?
Itatusaidia vipi ???????
 
Hao p.square wanashindwa kufanya ngoma na wasanii wakubwa wenye mfanikio wao wanarudi nyuma kufanya mziki na wasanii wa mchangani hawa naona wanaanza kupotea kwenye game
wivu ni ugonjwa
upone haraka kaka
 
Hao p.square wanashindwa kufanya ngoma na wasanii wakubwa wenye mfanikio wao wanarudi nyuma kufanya mziki na wasanii wa mchangani hawa naona wanaanza kupotea kwenye game
Hasira zako za kuondolewa chuoni Dom kwa ukilaza wako usizilete kwenye starehe.

Tunasubiri mzigo kwa hamu, babu K amemkubali Chibu sembese wewe wa kufoji vyeti? Acha roho mbaya dhiki yako ya akili usilazimishe watu wafanane nawe katika ujuha.
 
Ha ha ha ha ha ha ha eeeh haya hata mie nimeukubali kinyama
 
hapo sijaitazama ila ni booonge la video ambalo litasumbua Sana Ulimwengu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…