Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaMbona tuliambiwa hao P.Squire sijui wamevunjika vipande viwili? Au ilikuwa ni kick ya kutafuta umaarufu zaidi.
wivu ni ugonjwaHao p.square wanashindwa kufanya ngoma na wasanii wakubwa wenye mfanikio wao wanarudi nyuma kufanya mziki na wasanii wa mchangani hawa naona wanaanza kupotea kwenye game
Hasira zako za kuondolewa chuoni Dom kwa ukilaza wako usizilete kwenye starehe.Hao p.square wanashindwa kufanya ngoma na wasanii wakubwa wenye mfanikio wao wanarudi nyuma kufanya mziki na wasanii wa mchangani hawa naona wanaanza kupotea kwenye game
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi ni akili za misukule