Na tutegemee uchumi wa nchii kukuwa Kwa staili hyo kwel mkuu wanguu
Hata Rais Ali Hasan Mwinyi enzi zake, aliacha kwenda Muhimbili kukutana na Madaktari waliokuwa wanagoma(mgomo mkali kuliko migomo yote iliyo wahi kutokea wakati huo) badala yake alikwenda uwanja wa Taifa kuserebuka na Kanda Bongoman.
Tanzania kila mtu mwenye bidii kidgo anaweza nunua hilo gari ,tatizo ni viongozi wenye mipango mibovu.Watu mnaona Tanzania ya ajabu.
Hamkuona ya wale watoto wa kenya wa forex taifa nzima lilisimama kisa tu kununua tu BMW gari za milioni mia.
Hili halikupita machoni wala masikioni mwangu em weka link tuone kilichotokea masta.Watu mnaona Tanzania ya ajabu.
Hamkuona ya wale watoto wa kenya wa forex taifa nzima lilisimama kisa tu kununua tu BMW gari za milioni mia.
Unajua forex traders wa kenya.Hili halikupita machoni wala masikioni mwangu em weka link tuone kilichotokea masta.
Umehama mada.Tanzania kila mtu mwenye bidii kidgo anaweza nunua hilo gari ,tatizo ni viongozi wenye mipango mibovu.
Watanzania ni washamba sana mitandaoni wanatia aibuHili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni.
Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond SMHO.
Yani Chris Brown leo ametukuzwa kila mahali, kiasi kwamba Chris akijua kinachoendelea hapa Tzzz basi atacheza na wimbo wa Disconnect.
Bila kusahau atacheza na wimbo wa Hakuna matata, akimaliza atacheza tena wimbo wa SENSEMA.
Akimaliza kucheza hizo nyimbo atacheza wimbo wa ANAUPIGA MWINGI.