Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

Nimekuuliza wew maana jinsi ulivyofananisha charts za Clouds na Billbroad ni kama mfumo wao wa nyimbo kuingia kwenye charts unafanana kitu ambacho si kweli
Kuna nyimbo ya Tanzania ilishawahi kuingia billboard? Huo mfumo sio inclusive, tofauti na SIRI, ipo extremely cummulative and inclusive
 
World wide ndicho anachoulizwa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa na wewe unashindwa kuchanganya na zako platform zote kubwa za mziki hata top 20 hiyo nyimbo haipo
Jitahid zama hizi sio za kuamini AI huyo siri kila mda anakuwa updated kwa software
 
Kumbe nawe umegeuka kundi la kusifu na kumuabudu Diamond? Una vigezo gani vya kuulinganisha wimbo huo na zingine zote DUNIANI??

We ni kama sisimizi ndani ya kopo. Anajua kuta za kopo ndio mwisho wa dunia kumbe huku nje dunia ni kubwa ajabu!
 
Ndio tunaingia 13 million views, in 1 week +, ila naona Alikiba anaanda bomu la nuclear huko, hadi nimeogopa, daah..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I think nyimbo namba moja inaweza kuwa monsters ya shawn mendes na justin bieber or bill eilish therefore im sababu imeingiza views milion 50 ndani ya siku tatu nadhani.

Hiyo inaweza kuwa namba moja afrika mashariki.
 
I think nyimbo namba moja inaweza kuwa monsters ya shawn mendes na justin bieber or bill eilish therefore im sababu imeingiza views milion 50 ndani ya siku tatu nadhani.

Hiyo inaweza kuwa namba moja afrika mashariki.
Tanzania na Africa kwa ujumla wenye access na internet ni chini ya 15%, hivyo kuna factor inatumika unapolinganisha na nyimbo ya sehemu ambapo internet connectivity ni zaidi ya 90% (mara sita zaidi), hivyo SIRI ikiona 10million views ya Waah huwa inafanya mara sita (60 million views) kabla haijaanza kulinganisha na nyimbo yeyote ya marekeni, sijui unanielewa lakini?
 
Mwambie atumie VPN afu aiulize tena SIRI, tuone kama ni kweli 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…