Wimbo wa Diamond washika number moja kwenye radio kubwa Nigeria

sasa wale wanaodai kuwa mziki kufanya kolabo nje hailipi waskilize kwa umakini
 
Mmmmmh mi nipo huku naija, wala sijausikia huo wimbo ukipigwa, mara nyingi nausikia huo skelewu original ukipigwa kila wakati na si huo mwingine.
 
Mmmmmh mi nipo huku naija, wala sijausikia huo wimbo ukipigwa, mara nyingi nausikia huo skelewu original ukipigwa kila wakati na si huo mwingine.

Unaweza ukakuta uko Tegeta kwa ndevu halafu unatudanganya uko Nigeria kisa unamchukia Diamond
 
Ni kwasabab ya davido. Ila fresh

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?

Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.

Pengine mimi nimeelewa vibaya hii part (and I stand to be corrected),ila mtu ambaye anaambiwa atakuwa famous ni huyo number one anayeimbwa hapo. Sio Tanzania kama mlivyoelewa.
 
Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?

Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.

Ilikua lazima mje wafuasi wa Kiba, waTz ni watu wakulalamika tu kila kitu. Kiba wenu alifanya hiyo collabo na r.Kelly tena aliitwa hata hakutafuta ila kwa uzembe wake wa kipumbavu hajatumia ile kama fursa, dayamondi kahangaaika kivyake kafanya collabo na msanii mkubwa Nigeria na kweli kaifanya Tz famous huko bado mnalalamika.

Ndo nyie hata ukikuta choo cha nyumba yako kisafi unalalamika Kwanini kisafi!
 

We dogo waulize akina Jerome a.k.a Stopper kama mimi naweza kushabikia wabana pua! Mimi mtoto wa Fire jirani kabisa na Sinoni Arachuga aiseee! Kule hakuna urojo chalii angu!
 
We dogo waulize akina Jerome a.k.a Stopper kama mimi naweza kushabikia wabana pua! Mimi mtoto wa Fire jirani kabisa na Sinoni Arachuga aiseee! Kule hakuna urojo chalii angu!

Ushamba wa juu huo kudhani ukimshabikia Ali Kiba au diamond au wabana pua kama wewe unavyowaita ni kosa kwa mshabiki wa hip hop

Sijui Nigeria wangekuwa wapi music-wise kama wangekuwa na mawazo hayo maana muziki wao unaohit nje ni kama wanaofanya akina Kiba na diamond. Au wewe ushasikia hip hop ya Nigeria?
 

Inaelekea unayajua mengi sana ya Diamond....
Mpaka yachumbani kwake na anayoyafanya na wanawake mkuu unayajua.Hongera.

"Nlikuwepo":bolt:
 

Samahani mkuu,hii linki nitakayokuwekea ni ya show waliyofanya hawa wakuitwa Jagwa Music a.k.a dege la jeshi watoto wa Mwananyamala.Show ilipigwa huko Roskilde,kitu nachotaka unote hapo ni jukwaa na namna wazungu wanavyopagawa na hao Machalii.
Ukimaliza nitakuomba unipe link au hata video ya wasanii wengine wa bongo haswa huyo Diamond,Kiba,Ommy Dimpoz na wengine za show zao ambazo kila kukicha wanatuambia walipiga show mara Marekani,England N.K
Link hiyo mkuu....
"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka kuna rafiki yangu mnaijeria anaosho huko kwao. Aliniambia ni moja ya nyimbo zenye kutamba
 


Mkuu umechanganya madesa, huwezi fananisha show ambayo Diamond au Kiba anaenda abroad kwa kuitwa na waTZ wenzake ijae kama hii show ambayo inaandaliwa haswa na main performers ni watu from USA&UK. Hii show ilikua na
artists zaidi ya 200 sasa ulitegemea watazamaji wawe wachache!? Andaa show wafanye hao Jagwa music peke yao uone watafika wahudhuriaji wangapi
 
Last edited by a moderator:
as kama wewe ni mnaijeria vile?

mkuu tofautisha comparison ya lagos (kimkoa kimoja) na nchi yenye mikoa zaidi ya 20...

how comes?

Be an encourager. The world has plenty of critics already....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…