Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
sasa wale wanaodai kuwa mziki kufanya kolabo nje hailipi waskilize kwa umakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh mi nipo huku naija, wala sijausikia huo wimbo ukipigwa, mara nyingi nausikia huo skelewu original ukipigwa kila wakati na si huo mwingine.
Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?
Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.
Unaweza ukakuta uko Tegeta kwa ndevu halafu unatudanganya uko Nigeria kisa unamchukia Diamond
Hapo ndio alinichefua huyo dogo... Ally Kiba ameimba na R Kelly bado hakutufanya famous aweze huyo dogo wa Abuja?
Ile verse ni dharau Domo alipaswa kuikataa.
Anaweza akawa Nigeria lakini anasikiliza redio uhuru ya kule badala ya Clouds ya huko
Ilikua lazima mje wafuasi wa Kiba, waTz ni watu wakulalamika tu kila kitu. Kiba wenu alifanya hiyo collabo na r.Kelly tena aliitwa hata hakutafuta ila kwa uzembe wake wa kipumbavu hajatumia ile kama fursa, dayamondi kahangaaika kivyake kafanya collabo na msanii mkubwa Nigeria na kweli kaifanya Tz famous huko bado mnalalamika.
Ndo nyie hata ukikuta choo cha nyumba yako kisafi unalalamika Kwanini kisafi!
We dogo waulize akina Jerome a.k.a Stopper kama mimi naweza kushabikia wabana pua! Mimi mtoto wa Fire jirani kabisa na Sinoni Arachuga aiseee! Kule hakuna urojo chalii angu!
Msanii yoyote duniani kumega mwanamke ndio silaa yake msanii anakuwa na na ka dem kamoja tu huyo sio msanii wa kweli lazima huwe kama platnum au kama wa kina pdd ma juu kama kujenga ana nyumba kam nne kwa kibongo hapo yupo sawa hacheni awakandamize kitu tena anawatumia kwa kondom ndio mana hawna ongera platnum
Ilikua lazima mje wafuasi wa Kiba, waTz ni watu wakulalamika tu kila kitu. Kiba wenu alifanya hiyo collabo na r.Kelly tena aliitwa hata hakutafuta ila kwa uzembe wake wa kipumbavu hajatumia ile kama fursa, dayamondi kahangaaika kivyake kafanya collabo na msanii mkubwa Nigeria na kweli kaifanya Tz famous huko bado mnalalamika.
Ndo nyie hata ukikuta choo cha nyumba yako kisafi unalalamika Kwanini kisafi!
Samahani mkuu,hii linki nitakayokuwekea ni ya show waliyofanya hawa wakuitwa Jagwa Music a.k.a dege la jeshi watoto wa Mwananyamala.Show ilipigwa huko Roskilde,kitu nachotaka unote hapo ni jukwaa na namna wazungu wanavyopagawa na hao Machalii.
Ukimaliza nitakuomba unipe link au hata video ya wasanii wengine wa bongo haswa huyo Diamond,Kiba,Ommy Dimpoz na wengine za show zao ambazo kila kukicha wanatuambia walipiga show mara Marekani,England N.K
Link hiyo mkuu....
"Nlikuwepo":bolt:
halafu pia ni kama kuna kidharau fulani hivi
bora angesema dar es salaam to lagos, sio Tanzania to lagos! uncomparable kabisa!
and you haters.... u gonna always hate.....
as kama wewe ni mnaijeria vile?
mkuu tofautisha comparison ya lagos (kimkoa kimoja) na nchi yenye mikoa zaidi ya 20...
how comes?
Be an encourager. The world has plenty of critics already....