Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
alitaka vinaWimbo mzuri sana ila nachukua pale Davido anapoanza "Tanzania to Lagos,I will make u famous"
Halafu sio Tanzania to Nigeria,yaani to Lagos
Wimbo mzuri sana ila nachukua pale Davido anapoanza "Tanzania to Lagos,I will make u famous"
Halafu sio Tanzania to Nigeria,yaani to Lagos
Bado bongo movies.......!
Ipo siku wema atakuwa best actress in africa...
unaandka point I like it
thanks gwenivia... bongo movie nao wajipange, diamond katika bongo flavour kaweza, kwani ana nini?
Labda kanumba afufuke, maana yeye ndio alikuwa ana uwezo wa kuthubutu.
Ila hawa waliobakia ambao akili zao ziko kwenye starehe,sidhani. Halafu uzuri wa Mungu, kila sehemu anamuweka mtu mmoja wa mfano na pia awe kiongozi. Katika bongo flavor diamond kafanikiwa kuwa kiongozi,kule kwa majirani ambao ni bongo movie kiongozi alikuwa Kanumba na ndio tayari katangulia.
"Nlikuwepo":bolt:
mkuu unataka kusema bongo movies imekufa? ray si ni hasimu wa kanumba? huoni kwamba atachukua nafasi ndani ya mwaka huu tu?
Ray huyu huyu asiye jua kuigiza au?