Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
hebu acha utani bana! ray aliyekuwa anamkimbiza kanumba kwenye gem unasema hajui kuigiza? kweli?
Katika watu wasiojua kuigiza ni ray kwanza anarudia rudia maneno yani sipendi uigizaji wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu acha utani bana! ray aliyekuwa anamkimbiza kanumba kwenye gem unasema hajui kuigiza? kweli?
Katika watu wasiojua kuigiza ni ray kwanza anarudia rudia maneno yani sipendi uigizaji wake
halafu watu wanasema kwamba ray anapiga sana kelele na kupayuka... hii nayo ulishaiona?
mkuu unataka kusema bongo movies imekufa? ray si ni hasimu wa kanumba? huoni kwamba atachukua nafasi ndani ya mwaka huu tu?
hebu acha utani bana! ray aliyekuwa anamkimbiza kanumba kwenye gem unasema hajui kuigiza? kweli?
Bado bongo movies.......!
Ipo siku wema atakuwa best actress in africa...
akijitambua na pia akichukulia uigizaji serious atakuwa hivyo unavyotaka awe
Labda kanumba afufuke, maana yeye ndio alikuwa ana uwezo wa kuthubutu.
Ila hawa waliobakia ambao akili zao ziko kwenye starehe,sidhani. Halafu uzuri wa Mungu, kila sehemu anamuweka mtu mmoja wa mfano na pia awe kiongozi. Katika bongo flavor diamond kafanikiwa kuwa kiongozi,kule kwa majirani ambao ni bongo movie kiongozi alikuwa Kanumba na ndio tayari katangulia.
"Nlikuwepo":bolt:
unadhani kwa wema anaweza kwenda mpaka hollywood akacheza na bradd pit?
anaweza endapo ataamua kweli kwa kuwa kila mtu anahaki ya kufanikiwa na kutimiza malengo yake endapo atafanya kazi kwa bidii na kumuomba mungu bila kusahau sapport kutoka kwa sisi watanzania
Big up Almasi......ajabu ni kwamba kwangu ile my number one ya mwanzo ndio bado inaniingia akilini, sio hii aliyomshirikisha Davido......
Mkuu,katika watu waliokuwa wanaongoza kwa kununua kazi za Kanumba nadhani mimi ni mmojawapo. Nina CD nyingi sana na mpaka home walikuwa wananiita brother K.kweli hujafa hujasifiwa nikikumbuka kanumba alivyokuwa akitukanwa, leo hii kafariki basi ndio harakati alizokuwa anazifanya zinaonekana.lakini ndotulivyo wa tz