WIMBO WA DIAMOND WASHIKA NUMBER MOJA TRACE TV.... Huu ndio Ushahidi

mkuu unataka kusema bongo movies imekufa? ray si ni hasimu wa kanumba? huoni kwamba atachukua nafasi ndani ya mwaka huu tu?

Kiukweli na ndivyo inavyoonekana na ndio uhalisia ulivyo, bongo movie imekufa sana tena sana... Mungu umrehemu kanumba huko alipo maana alifanya kile alichotakiwa kufanya.
Hawa wanawake wote mnaowaona katika bongo movie, wengi walikuwa wanafit katika movie za Kanumba tu. Na huko ndiko wengi walipopata umaarufu.
Ray alikuwa anaishi chini ya kivuli cha kanumba. Hana ubora hata chembe huyo mtu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hebu acha utani bana! ray aliyekuwa anamkimbiza kanumba kwenye gem unasema hajui kuigiza? kweli?

Ray hakuwahi kumkimbiza Kanumba... Kanumba alishajua kuwa Tanzania hana mpinzani na ndio maana akaamua kutoka zake nje zaidi ambako taratibu alianza kufanikiwa. Ila Mungu nae alikuwa na mipango yake.
Ulivyokuwa unamuona Kanumba,ni kama Man U na Furgerson. Alipostaafu ndio tunayaona mapungufu ya Man U sasa hivi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
kweli hujafa hujasifiwa nikikumbuka kanumba alivyokuwa akitukanwa, leo hii kafariki basi ndio harakati alizokuwa anazifanya zinaonekana.lakini ndotulivyo wa tz
 
unadhani kwa wema anaweza kwenda mpaka hollywood akacheza na bradd pit?

anaweza endapo ataamua kweli kwa kuwa kila mtu anahaki ya kufanikiwa na kutimiza malengo yake endapo atafanya kazi kwa bidii na kumuomba mungu bila kusahau sapport kutoka kwa sisi watanzania
 
anaweza endapo ataamua kweli kwa kuwa kila mtu anahaki ya kufanikiwa na kutimiza malengo yake endapo atafanya kazi kwa bidii na kumuomba mungu bila kusahau sapport kutoka kwa sisi watanzania

mbali na support na maombi kutoka juu,

wema na wanabongo movie wengine kwa sasa unavyowaona,

wamejizatiti kweli kufika hata nollywood na kuteka soko? achilia mbali hollywood na bollywood!

wataweza kweli kupambana na mititi ya watu kama ramsey noah?
 
Kama kwrlo davido ndio kambeba diamond si kweli kwani yeye davido hana nyimbo kwa nini haijafika kwenye n"1 barani afrika kwa sababu kichwa hiki mnakiona kila siku bongo ndiomana mnakibeza plutnum yupo juu
 
Big up Almasi......ajabu ni kwamba kwangu ile my number one ya mwanzo ndio bado inaniingia akilini, sio hii aliyomshirikisha Davido......
 
Big up Almasi......ajabu ni kwamba kwangu ile my number one ya mwanzo ndio bado inaniingia akilini, sio hii aliyomshirikisha Davido......

Kweli bana, me mwenyewe my number one original naona ndo inanibamba zaidi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kweli hujafa hujasifiwa nikikumbuka kanumba alivyokuwa akitukanwa, leo hii kafariki basi ndio harakati alizokuwa anazifanya zinaonekana.lakini ndotulivyo wa tz
Mkuu,katika watu waliokuwa wanaongoza kwa kununua kazi za Kanumba nadhani mimi ni mmojawapo. Nina CD nyingi sana na mpaka home walikuwa wananiita brother K.
Nimeacha kununua CD za kibongo baada ya kifo chake.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…