Ana miaka 21 mwanadada mswaziland anaeishi SA ni DJ TV personality, host na presenter, creative director huu wimbo wake Tanzania umebamba sana South sasa.
DJs wa kwetu wana kujifunza sana kwake jinsi anavyofanya kazi mpaka amemvutia Drake ambae anamfollow sana na iwezekana akafanya nae kazi.
Kama sote tunaipenda nchi yetu ni vizuri tukimfollow na kumpa likes.