Asubiri kupewa ukuu wa wilaya na mimba juu
hahahaha! Au Ubunge wa viti maalum
hahahaha! Au Ubunge wa viti maalum
hahahaha! Au Ubunge wa viti maalum
Duh yaan aibu sana,nyimbo ya ajabu sana,huyu mwanamke sio mzima
Wewe ndiyo Yahya? utabaki kumponda tu nyuma ya keyboard wakati haumiliki hata bajaj....alitaka aonekane Superstar mbele ya wenye dunia, matokeo yake katokosa.
Kiuno chenyewe sasa,kigumu utadhani cha mtoto wa Mzee Mbibo.