Wimbo wa Dokii

Wimbo wa Dokii

mshamba naona anajikatisha viuno kiuno chenyewe ka cha kikongwe
 
Asubiri kupewa ukuu wa wilaya na mimba juu
 
Kibamia kinamtesa zama za kuhonga ngono zishapita saruku hana adabu aliwaoyeha wazee uchi tena ndani ya Chamwino ananajisi chama kubwa chama kongwe
 
2015 dokii atakuwa Mkuu wa wilaya au mbunge wa kuteuliwa colification ukatike kiuno mbele ya Mkulu. Ref Vicki kamata
 
Duh yaan aibu sana,nyimbo ya ajabu sana,huyu mwanamke sio mzima
 
kamuimbia obama gani?....huyu kikongwe umri ushamtupa mkono anatafuta kick!
 
Duh yaan aibu sana,nyimbo ya ajabu sana,huyu mwanamke sio mzima

...alitaka aonekane Superstar mbele ya wenye dunia, matokeo yake katokosa.
Kiuno chenyewe sasa,kigumu utadhani cha mtoto wa Mzee Mbibo.
 
........wanawake hampendani................ mijivu tu.........
 
...alitaka aonekane Superstar mbele ya wenye dunia, matokeo yake katokosa.
Kiuno chenyewe sasa,kigumu utadhani cha mtoto wa Mzee Mbibo.
Wewe ndiyo Yahya? utabaki kumponda tu nyuma ya keyboard wakati haumiliki hata bajaj.
 
Back
Top Bottom