Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

Wimbo wa Fally Ipupa 'Mayday'

Le monde le monde est trop matata

Le monde eh, le monde est trop matata
Or moto asala le monde eza yo Nzambe tata
Kita okata po mokili trop matata, kata
Adamu, Adamu pe na Eva présence ya nyoka na elanga trop matata!
Jamaa anajua halafu anajua tena!
Jamaa fundi sana
 
Unaijua Ngoma ya koffi ultmutum
Nazijua hizi kwa uchache za kwake Quadra KORA man Mopao Mokonzi.
Ultimutum
Cle boa
Monde Arabe
Effrakata
Force de Frape
Papa Ngwasuma
Loi
Rond Point
Papa Mobimba
Tshou Tshou Tshou
Skol Longitima
Acquitte
Affaire dEtat
Mansouri S
Nyataquance
Generique
Piwawa
Sans Suite
Respent
Moundongou
Danao
Katagourouma
Tsiane
Swi
Papa Plus
Chantou
Dossier du Jour
Abracadabra
Airways
Attentat
Danger de Mort

Haya kazitafute hizo halafu kesho nikuandikie nyimbo za Ferre Gola le padre ili ujue utam wa rhumba.
 
Nazijua hizi kwa uchache
Ultimutum
Cle boa
Monde Arabe
Effrakata
Force de Frape
Papa Ngwasuma
Loi
Rond Point
Papa Mobimba
Tshou Tshou Tshou
Skol Longitima
Acquitte
Affaire dEtat
Mansouri S
Nyataquance
Generique
Piwawa
Sans Suite
Respent
Moundongou
Danao
Katagourouma
Tsiane
Swi
Papa Plus
Chantou
Dossier du Jour
Abracadabra
Airways
Attentat
Danger de Mort

Haya kazitafute hizo halafu kesho nikuandikie nyimbo za Ferre Gola le padre ili ujue utam wa rhumba.
Kaka mbona kama umegoogle hizi 🤣😁😁
 
Mimi Faly Ipupa ananibariki sana asubuhi kabla sijaenda job
1) Associe
2. Mayday
3. Science fiction
4. Alliance
5. Attente

Yaani hapa napata nguvu kuanza siku aise
 
Lete Maria pem
Maria PM
Hili goma ndo lilinileta rasmi kwa fally ipupa.
Nna jirani yangu alikuwa analipiga kila siku.
Kuna ka sehem Kaniambia
"Adamu, Adamu pé na Eva eh
Présence ya nyoka na elanga très matata
Or moto asala le serpent eza yo Nzambe tata
Kita okata po mokili trop matata, kata
Motema demeure, bolingo ezui matata
Souci na kati ekomi kuluna nkata-kata
Or moto asali motema eza yo Nzambe tata
Kita okata po bolingo trop matata, kata"
Basi hapa pakanifanya nimchukulie series sana fally ipupa
Kwenye kufunga 2023 ndo msani niliyemsikiliza zaiidi
 
Huwa najiuliza kama Bar za Tanzania zina mkataba wa siri na Ferre Gola kupiga wimbo wake wa 100 kilos? Hakuna bar utaenda TZ isipigwe 100 kilo
 
Elewa tu tangu nifike kwenye uso wa dunia sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday. Iwe nimezaliwa 1914, 1805, 2019, 1280, 1993, 1987,1667,80BC,2022 au mwaka wowote; Sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday.
Nashukuru umenijibu mwaka wako ni halali Kwa maoni yako
 
Simu Yangu Inaniangusha Nikiibadilisha Nitakuwa Nawatafsiria Nyimbo Za Lingala Japo Kwa Uchache
 
Back
Top Bottom