Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ile sauti ilivyo imekaa ki vavvy boy na ingendezea vanny boy.Kamata imefanana kila kitu na TETEMA. Ubunifu zero
Ma produza hawana jipya.Sijui tunaelekea wapi! Wanaojua hata hatuwapi time Ila hawa wenye maneno mawili nyimbo nzima ndio tunawapa time
Nyimbo mbaya, kuipenda mpaka uambiwe iskilize kwenye mziki mkubwa ama utaskia video ndio kali
Si konde wala kaka yake Simba now ni hovyo sana
Hii itawafunza. Wakashtakiwe kwenye vyombo vya kimataifa watakoma wale.Wasanii wengi wa tz hawana elimu kuhusu mambo ya copyright issues. Ipo siku mtu ataambiwa alipe mabilioni ndo wataelewa.
Ahahaha angefungiwa Sadala hapa, ungeona team Kibakuli wanavyofukuzana hapa kutoka povuView attachment 1834399
Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa haijajulikana ni kipengele kipi cha hakimiliki
Robidinyo mtu mbayaaaaa😃😃😃Harmonize hajafikia level za kuitwa nguli ebu futa kauli we Gimbi
Temper ya kukimbizana na WCB, anajikuta anatoa nyimbo bila ratiba, utunzi unaongozwa na mihemko...!!Mmakonde ameishiwa...ni bangi ana vuta au ni nini?.
Kipaji anacho ila kila siku ni products mbovu tu.
Naona umekataa kuwa mnafki [emoji3][emoji3]Kusema ukweli this time kwenye Kamata ya diamond siwezi mtetea
Kazingua sana ningemuona mtu kama angeifanya kama audio iliyovuja
yani asiipe uofficial kbsa ila anavyoipromote ndio anazidi niboa,Nyimbo Mbaya.
Yaani crew yote ya WCB walikaa wakashauriana wakaona ule ni wimbo wa kurelease officially kabisa! wamekwama pakubwa sana. WIMBO MBAYAAAAA!Kusema ukweli this time kwenye Kamata ya diamond siwezi mtetea
Kazingua sana ningemuona mtu kama angeifanya kama audio iliyovuja
yani asiipe uofficial kbsa ila anavyoipromote ndio anazidi niboa,Nyimbo Mbaya.
OkKamata ni wimbo wa hovyo kabisa kutoka kwa A-list artist..
Horrible horrible horrible.
Toa hapo hyo takataka rosaleeBlogs na celebreties wanawapa promo sana hao watu 3. Lakini kuna madogo kama kina kayumba,rapcha,roza lee na wengine kibao wanatoa ngoma kali kinoma ila ndo ivo kuwaskia ni mpaka uwasakame chobi uko ndo unawapata.
Alikuwepo Aslay nae kapotelea jalala gani sijui huyu ndo kidoogo nae alikua anakamata kidgo mitandao. Saivi ni sadala,tembo kibonge na kipusa ndo wamehodhi mitandao.
Ngoma zenyewe mbovu mbovu tuu daah yani shida tupu.
Umenikumbusha kauli ya master jaySiku hizi nyimbo hamna aisee.