Acha unafiki ulieleta hii mada, unajifanya haupo upande wowote jidee alichofanya sio kukopy ila kachua baadh ya vionjo vya muziki kutoka katika jamii yake na kufanyia modification, we hayo maelezo unayotoa hapo chini ni kujitetea kinafiki WE UNAUHAKIKA GAN JD HAKUUMIZ KICHWA KATIKA JOTO HASIRA? sasa nakupa kaz kasikilize hizi nyimbo ndo uone hivo vibwagizo tunavyovisema ambavyo kama kingekua ni chakula tungesema ni viungo vya kuongeza utamu, ZILIPENDWA - MATONYA , PAKA LA BAA - SHILOLE , kuna moja ya HIP HOP kashilikishwa STAMINA- mchaka mchaka chinja, SAMIR- kinyulinyuli, NYIMBO za mR NICE kasikilize hizo zote utasikia hizo nyimbo za mtaani au za makabila au tulikua tunaimba shuleni lakini wao wameziingiza kwenye nyimbo zao, Pia Hata Wakongo Kuna Nyimbo Za Mtaan Ambazo Unaweza Kusikia Hata Kwenye Nyimbo Zao Tisini Ivo Vinaitwa Viongeza Utamu Katika Nyimbo Mf: ale bibili bibil bibela bibela ale baba na mwana bibela bilela ale dochido dochido hata dully alitumia so jipange za hizo stread zenu za kiwafu wafu