Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

Acha unafiki ulieleta hii mada, unajifanya haupo upande wowote jidee alichofanya sio kukopy ila kachua baadh ya vionjo vya muziki kutoka katika jamii yake na kufanyia modification, we hayo maelezo unayotoa hapo chini ni kujitetea kinafiki WE UNAUHAKIKA GAN JD HAKUUMIZ KICHWA KATIKA JOTO HASIRA? sasa nakupa kaz kasikilize hizi nyimbo ndo uone hivo vibwagizo tunavyovisema ambavyo kama kingekua ni chakula tungesema ni viungo vya kuongeza utamu, ZILIPENDWA - MATONYA , PAKA LA BAA - SHILOLE , kuna moja ya HIP HOP kashilikishwa STAMINA- mchaka mchaka chinja, SAMIR- kinyulinyuli, NYIMBO za mR NICE kasikilize hizo zote utasikia hizo nyimbo za mtaani au za makabila au tulikua tunaimba shuleni lakini wao wameziingiza kwenye nyimbo zao, Pia Hata Wakongo Kuna Nyimbo Za Mtaan Ambazo Unaweza Kusikia Hata Kwenye Nyimbo Zao Tisini Ivo Vinaitwa Viongeza Utamu Katika Nyimbo Mf: ale bibili bibil bibela bibela ale baba na mwana bibela bilela ale dochido dochido hata dully alitumia so jipange za hizo stread zenu za kiwafu wafu
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

Wewe hujui copy n paste kasikilize wimbo wa benpol jikubali alafu sikiliza wa Will am i unaitwa hall of fame. Alafu ben pol kapewa tuzo eti ya mwamziki bora. Hizo ndo copy n pest dio issue ya lady jaydee
 
nani kasema ni wakikurya? Mbona unadandia mbele, itamea. Kama ni wakinyakyusa ungeleta hoja kama nimefanya umbea, ulichofanya si umbea? Jipange
afadhali unisaidie kuwaelimisha hawa ndugu zetu....inavyoonekana huyo dada yao huwa anawasaidia chakula si unajua ana mgahawa pale?......kitu kinachonishangaza ni watu kufuata upepo laiti wangemju huyo mtu wanayemtetea wasingesema....msiba wa wasanii wenzake kaanza kuonekana majuzi tu hapa.mahousegirl kwake hawakai ni manyanyaso tu...wanamuziki wake nao ni kuhama leo kesho.....alikaa miaka mingapi pale clouds mpaka leo hii wawe wabaya?na mumewe nae hakuona ubaya wao miaka yote hiyo?na kama radio hiyo ni mbaya na ya kibaguzi why kuisikiliza na wkt kuna redio karibu kumi na zaidi?he he he he wacha tucheke ivi ile kesi ni lini wangu nikae mkao wa kula!
 
Wale ndugu zangu kutoka musoma na majirani zao bila shaka na watanzania kwa Ujumla mliopata au kuwai kuusikia, huwezi kuutofautisha wimbo wa Lady jay Dee na ule aliokopi.

Joto hasira ni kopi ya wimbo wa Kijita Uitwao "Amba" maarufu sana katika maarusi na hata wapiga matarumbeta wengi zikiwemo Bendi za Polisi uupiga. Juzi tu katika ujio wa Obama nimeusikia wakati wakiingia ikilu pale.

Alichofanya Jide nikugeuza maneno ila si yote, chorus yote ni kopi.

To be spesific, melody ile ya Jide hakufikirisha kichwa hata kidogo, alihamisha.

Dumelang kwa hiyo hapa ndio umewaza hadi upeo wako wa mwisho kabisa wa kufikiria?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unamaanisha Wanyakyusa wakamshtaki Jay Dee kwa "copy right infringement?"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unapoanzisha uzi dizaini kama hivi kuna like na dislike so usiwe pilipili wanaoponda wamechangia na wanaofagilia wamechangia vile vile we unadhani wote tungekua Marafiki wema neno Adui lingekwepo kweli?
 
Hapa inaonesha kuna watu hawaelewi tofauti ya "wimbo wenye mahadhi na vionjo vya ........!" na "copy and paste"
 
jamaa anaonekana ana mashairi sana huyu hawezekani
 
Back
Top Bottom