ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Asante mkuuSikiliza ngoma yao inayokwenda kwa jina la "Jahazi la Daz". Members wote wa Daz Nundaz wametajwa humo.
Tulikuwa wote jitegemee mimi nikiwa form one yeye akiwa form 3 Pomoja na kajalaMmoja wao ni teja yuko Mitaa ya Segerea TotoTundu, yule aliyeimba Namba 8. Pia mmoja alikuwa UDSM mpaka 2009 akichukua Digrii ya Kwanza.
daz baba ni kipaji kilichopotezwa na ngadaTulikuwa wote jitegemee mimi nikiwa form one yeye akiwa form 3 Pomoja na kajala
Yule binti alieimbwa "mwenye lips pana, akicheka ana mwanya" tulikuwa wote darasa Moja, jina lake ni Neila
Naila Magoti✓Tulikuwa wote jitegemee mimi nikiwa form one yeye akiwa form 3 Pomoja na kajala
Yule binti alieimbwa "mwenye lips pana, akicheka ana mwanya" tulikuwa wote darasa Moja, jina lake ni Neila
Naila Magoti✓
Neila×
Naila James na sio magotiNaila Magoti✓
Neila×
Alikuwa Mzuri ndioNaila alikuwa mrembo sana?