Wimbo wa kamanda

Wimbo wa kamanda

ngalelefijo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
3,966
Reaction score
2,596
Ndugu wadau,naomba kujua full squad,jina na mahali walipo wasanii walioimba wimbo wa alale pema kamanda.ule wimbo una elezea kwa ufasaha kifo na huzuni kubwa.nawasilisha
 
Mmoja wao ni teja yuko Mitaa ya Segerea TotoTundu, yule aliyeimba Namba 8. Pia mmoja alikuwa UDSM mpaka 2009 akichukua Digrii ya Kwanza.
 
Tulikuwa wote jitegemee mimi nikiwa form one yeye akiwa form 3 Pomoja na kajala
Yule binti alieimbwa "mwenye lips pana, akicheka ana mwanya" tulikuwa wote darasa Moja, jina lake ni Neila
 
daz baba ni kipaji kilichopotezwa na ngada
 
Tulikuwa wote jitegemee mimi nikiwa form one yeye akiwa form 3 Pomoja na kajala
Yule binti alieimbwa "mwenye lips pana, akicheka ana mwanya" tulikuwa wote darasa Moja, jina lake ni Neila
Naila Magoti✓
Neila×
 
Back
Top Bottom