Wimbo wa Kombe la Dunia 2026 ni mbaya; hauna hadhi ya michuano hiyo, umekaa kama Kwaya ya kanisani

Wimbo wa Kombe la Dunia 2026 ni mbaya; hauna hadhi ya michuano hiyo, umekaa kama Kwaya ya kanisani

Kombe la dunia mwaka huu lisusiwe! Siyo kombe la dunia tena bali ni kombe la Trump, ambaye ndiye anachagua ni nani ahudhuria na ni nani asihudhurie.
Washabiki watakaojioendekeza kwenda wanaenda kunyanyaswa na ICE ambao sasa wamewekwa kila airport
 
Bado siku 79 hadi mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia la FIFA 2026. Mechi ya ufunguzi itachezwa Alhamisi, 11 Juni 2026 mjini Mexico, na ratiba ya FIFA inaonyesha mchezo huo ni Mexico dhidi ya Afrika Kusini maarufu Bafana Bafana (The Boys in Zulu).
Hili bonge la song. Mimi limenikuna!
 
Washabiki watakaojioendekeza kwenda wanaenda kunyanyaswa na ICE ambao sasa wamewekwa kila airport
Macho ya Trump huangalia kuwa mtu yeyote ambaye siyo mweupe ni criminal; halafu kuna watu weusi na akili zao timamu eti wanamshangilia, Hili wimbi la ICE linaloonyesha kama vile nchi yote imajaa illegals tu ni kwenye miji ambayo ina non-whites wengi tu.
 
La Qatar niliangalia kidogo ,ila hili sitaki kujua hata linaanza lini..
 
nimeukatisha naona unakula mb zangu tu
 
Tayari Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) limeachia wimbo rasmi wa michuano hiyo unaitwa 'Lighter' umeimbwa na Jelly Roll kwa ushirikiano na Carín León chini ya FIFA Sound.
Mbona sasa ni Dai dai?
 
Back
Top Bottom