mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment VID-20181112-WA0004.mp4