Wimbo wa kuzimia

Wimbo wa kuzimia

Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743
wimbo ule mimi mpaka leo siujui unaitwaje ati
Huo hapo
IMG-20181112-WA0026.jpeg
 
Ni Bora ukafungiwa tu. Nimempa mtu mkono akajifanya anazimia[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Napenda watoto ila utoto sipendi.
 
Back
Top Bottom