[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Hahaha sawa
Anaitwa King Monada na wimbo unaitwa malwedheHabari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743
Muone huyu [emoji116][emoji116]View attachment VID-20181112-WA0005.mp4Weka upya ka video hako huku chini
Hahahahaaaaingia gugo andika wimbo wa kuzimia utaupata
Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743
Huo hapowimbo ule mimi mpaka leo siujui unaitwaje ati