Halafu kuna zile zingine huwa naona wanacheza kama wanaumwa nyuki! Kazi sana kizazi hiki!Habari wakuu,
Mimi naomba kuuliza huu wimbo unaotrend sana kwenye social media ambao watu wanaanguka kama wanazimia ni msanii gani kaimba?
Nimejaribu kusikiliza kwa makini sana lakini nashindwa kuelewa/kusikia vizuri maneno kwenye wimbo huo View attachment 930743
KaimbaHabari wakuu,

He! Tunafungia hata zisizotuhusu!Ni Bora ukafungiwa tu. Nimempa mtu mkono akajifanya anazimia[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Napenda watoto ila utoto sipendi.
Kumbe!Tafsiri yake hiyo hapoView attachment 930779
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ingia gugo andika wimbo wa kuzimia utaupata
hahaaingia gugo andika wimbo wa kuzimia utaupata