Wimbo wa kwaya Kumuhusu Shetani

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Habari za muda huu wakuu,
Let's go
Kwani yule aliyeimba "Shetani na Mama mkwe wake wanalia, Shetani na Mama mkwe wake wamekalia msumari"

Alikuwa anawaza Nini Wakuu ???
 
Maneno yanaeleweka hayo tafsida rahisi sana, we nyoosha maelezo nia yako hasa ni nn
 
Nafurahi kuona watu tunaanza kutafakari yale yanayoimbwa, kwasababu Shetani hana mke kapataje Mamkwe?
Shetani ni title a kuwakilisha kitu kibaya, either roho, mwilidam au mnyama, kwa iyo mwanamke atoae mimba, manabii wa uongo, wachawi wafuga majini yoyote kati yao hapo ukimuita shetani si mbaya, lucifer ni mmoja lakin **** sehemu utakuta limetumika kama wingi yani MASHETWANI, AU MASHETANI.

Mashetani yaweza kuwa kikundi cha watu au roho za giza, .mfano shetani na mama mkwe wake wana lia, walijua nitakufa bado na songa mbele,
**** wanawakwe wana logwa na mama wakwe zao ili ndoa yake ifwee lakin ukipata ulinzi wa YESU, asubuhi anakuona umeamka na unaenda kazini anahuzunika sana,
Jioni mwanamke huyo ukaenda ibada ya maombi, akaomba kama YESU ulifuguka kutoka kwa wafu, ulikishinda kifo hakika utanishindia na adui zangu uwachome kwa moto wa roho mtakatifu as above as below , huko kilingeni kwa mama mkwe hakuwezi kalika naona hata misumari inanafuu
 
Shetani sio title rafiki, ni ufalme uliokamilika, hizo ulizozitaja ni roho, na waliobeba hizo roho wanaitwa maajenti wa shetani, kwahiyo maajenti ni wanadamu ambao wanamuwakilisha shetani
 
Shetani sio title rafiki, ni ufalme uliokamilika, hizo ulizozitaja ni roho, na waliobeba hizo roho wanaitwa maajenti wa shetani, kwahiyo maajenti ni wanadamu ambao wanamuwakilisha shetani
Ufalme wa giza hauja wai kamlikiaka.
Yani unasema shetahi sio title ni ufalme,
Halagu huku chini naina neno wanamuwakilisha shetani,?!! Mbona unajichangaja??!
Anyway kwa idia ulio nao huo mwimbo unauelewa vizir tu na unakufaa
 
ufalme unakuwaje haujakimilika mkuu, shetani anaitwa mkuu wa ulimwengu, Baba wa waongo, shetani ana mamlaka katika ulimwengu.
 
mama mkwe na shetani wamekalia msumari huu huu msumari nnaoujua au mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…