Wimbo wa Mapozi wa Diamond, unaendelea kufanya vizuri Nchini

Wimbo wa Mapozi wa Diamond, unaendelea kufanya vizuri Nchini

Star wa Africa Diamond Platnumz aendelea kuonyesha ubabe na ufalme kwenye muziki wa bongo fleva. Na hili limeendelea kuthibitishwa na wimbo wake mpya wa "Mapoz" kutokana na streams lakini pia kuzitawala chati mbalimbali za muziki nchini

Ikiwa tayari ameachia wimbo wake wa "Mapoz" akiwa na Jay Melody na Mr. Blue tayari ngoma hiyo imeingia kwenye chati ya nyimbo 100 bora za apple music tanzania na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza.

"Mapoz" imefanikiwa pia kukamata namba moja ( 1) kwenye trending youtube tanzania pamoja na kenya huku hadi sasa ikiwa na jumla ya views milioni 1.4.

Katika mitandao mingine wimbo huu unakimbiza pia Boomplay, Audiomack n.k (swipe).

"Matikiti kudondoka, matikiti kudondokewa, marafiki huwa ni nyoka, hivyo chunga wanayoongea."

[emoji445]
[emoji445]:#TRIGGAH
#AfricaIsWatching #WasafiDigital

View attachment 2888346

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Waambie ni wimbo wa kwanza kwa huu mwaka kushika top charts kwenye major streaming platforms in East Africa
 
Huyu akiendelea hivi na na uvaaji na mapozi ya kijuha na nyimbo zenye maneno yasio na syaha basi ushogani ndio mwelekeo wake, ni muda tu.
 
Back
Top Bottom