Wimbo wa Mbosso “Yalah “ ilifaa ufungiwe?

Wimbo wa Mbosso “Yalah “ ilifaa ufungiwe?

Hao si ndio wale wanao iga kila upuuzi kutoka Saudia! Ni haki yao kuwa na ifnferiority complex! Mara nyingi hupenda kujiona na wenyewe kama vile ni hao waarabu!

Wakifunga ndoa unakuta wamevaa kanzu na majambia kama waarabu!
Sasa unajiuliza yale mavisu yana kazi gani kwenye harusi!! Jibu haliji![emoji56]
Nimecheka aisee! Wanazingua sana hawa wanaojifanya waarabu
 
Wajameni taratibu haya mambo, watu wamefiwa na Presidaa wao.
 
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo mbosso mwenyewe n kunaishu za watumwa kuchapwa n.k
Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa!
Kwan kuna shida gani.

Lakin ile ni

Psychological warfare

Inferiority complex

Surrender psychology

Vitu ambavyo n hatari katika taifa lolote kuvifundisha kwenye jamii yake au wananchi wake!!
Kwasababu vinadevalue race ya watu fulan na kuonekana kua race flan ndo iko juu kuliko nyingine!!

Vinaonesha ye anakubaliana na utumwa na anafundisha kizazi chake kua n watumwa and its fine with that!!!...

Misingi ya nchi kuendelea au taifa kuwa kubwa na lenye nguvu

- spirity ya superiority complex”

“Huwez shida vita au kumshinda adui yako kama unajiona we n dhaifu au si lolote”
Huu ndo ukweli!

Basata ingien kazini
Mimi kama mmoja wa BASATA Nalifanyia kazi hilo
 
Hao si ndio wale wanao iga kila upuuzi kutoka Saudia! Ni haki yao kuwa na ifnferiority complex! Mara nyingi hupenda kujiona na wenyewe kama vile ni hao waarabu!

Wakifunga ndoa unakuta wamevaa kanzu na majambia kama waarabu!
Sasa unajiuliza yale mavisu yana kazi gani kwenye harusi!! Jibu haliji![emoji56]
Hahahaha daaaah, Tate Mkuu naomba kuyafahamu makamo yako mkuu, inaonekana kuwa na element za kikoloni sana aiseeeh, Et majambia [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom