Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

Ushaambiwa "I DONT CARE....." sasa wewe what do you care about hizo 'verse' !?

Hiyo ni fasihi ndugu.

Chorus inakwambia wazi kabisa "My friend usi-complicate" halafu mkuu unataka ku-complicate sijui verse ziwe hivi mara ziwe vile.

Watu wana-celebrate baaas ndio jambo la msingi.
 
Kuna nchi nimeona wameimba, sasa sijui nani kamuiga mwenzake...
 
Anaimba off key, wimbo ame sample Lonely at the top wa Asake
 
Back
Top Bottom