Wimbo wa 'Mwambie', unazungumzia safari ya Taifa baada ya Uchaguzi

Wimbo wa 'Mwambie', unazungumzia safari ya Taifa baada ya Uchaguzi

Unicorn Allianz

New Member
Joined
Aug 11, 2026
Posts
1
Reaction score
0
'Mwambie'%20Bado%20Tuna%20Safari%20ya%20Kulijenga%20Taifa%20-%20Unicorn%20Allianz.jpeg


Wakati Tanzania ikishuhudia mabadiliko mapya katika uongozi baada ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma, kuna wimbo ambao ujumbe wake unapata maana mpya ’Mwambie’.

Wimbo unazungumzia safari ya Taifa, safari ambayo haimalizwi na mtu mmoja bali nguvu jumuishi ya kitaifa ya kizalendo, wajibika na kutenda haki kwa maslahi taifa. Nchimbi ametangaza kujiuzulu kuanzia Septemba 4, 2026, akisema ameamua kutimiza ahadi aliyompa Rais Samia kwamba angeachia nafasi hiyo endapo angeona kuna haja ya kuwa na Makamu mwingine. Baada ya majina na nyadhifa kubadilika, Tanzania tunataka kujenga Taifa la aina gani? Si lazima tukubaliane kila kitu, si lazima tuwe na mtazamo mmoja; Lakini maelewano na umoja ni jambo la msingi sana.

 
Back
Top Bottom