Wimbo wa mwisho wa Franco

Rumerus
 
wimbo wA Franco alioutoa 1989 unaitwa attention nA sida (jihAdhari na ukimwi) wimbo huo unasikitisha anaonya watu kuhusu ukimwi,Anajuta kwa mungu kwann ukimwi umewepo,ameimba kwa mafumbo sana huo wimbo
 
Niliusikia. Hapa nina mmoja nausikiliza unaitwa ngugi ameimba na tabu ley emu utafute.mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…