luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukimwi wa kurogwa?Show yake ya mwisho huyu mzee aliisha sana pamoja na kwamba alikuwa kibonge balaa. Na hapo ndo nilipoona kweli "Ukimwi wa kurogwa" ni balaa
Africa ina maajabu mengi[emoji23] hasa TZKuna ukimwi wa kurogwa?
DuhAfrica ina maajabu mengi[emoji23] hasa TZ
Huo ukimwi wa kurogwa ni ajabu moja wapo lililopo africa .Duh
Nieleweshe mku
Ahaaa. NimeelewaHuo ukimwi wa kurogwa ni ajabu moja wapo lililopo africa .
Tunapata ukimwi,hatutaki dawa tunadai tumerogwa
In reality ukimwi wa kurogwa haupo
...Nimejaribu kuweka Audio humu inagoma ngoja nitafute video niilete ukiisikiliza utagundua sauti yake imeisha...
Shukrani,mkuu
Ifu yu no war ai miiinKuna ukimwi wa kurogwa?
RumerusFranco luambo luanzo makiadi ni mwanamuziki anayefahamika sana barani Africa kwa nyimbo zake nyingi nzuri na ambazo mara nyingi alizitunga kutoka katika maisha yake binafsi
Baadhi tu ya nyimbo hizo ni MATATA YA MWASI ambayo anamuuliza Mungu kwanini kampa watoto wa kike tu ? Wapo 18 wakati (hajapata wa kiume aitwaye Emongo luambo)
Nyingine ni KIMPA KISANGAMENI ambayo anamuambia mama yake (alipenda kumtaja kwenye nyimbo zake) kuwa makini mchawi kaingia kwenye familia,hii ni baada ya kifo cha BAVON MARIE ambaye ni mdogo wake Franco
Hata hivo maisha binafsi ya Franco kama walivokuwa wasanii wengine leo yalikumbwa na skendo kibao
Kwa mfano alipooa 1958 alikaa miaka 9 bila mtoto jambo lililopelekea mtaani kuenea umbea kua ametoa kafara uanaume wake ili awe na mafanikio
Hata hivo umbeya ulizidi kumuandama franco zaidi pale alipougua miaka ya mwishoni mwa 80
Aliugua sana kiasi kwamba zikaenea taarifa mtaani kuwa ameathirika
Taarifa hizi zilipamba moto 1987 alipoachia kibao kinaitwa Attention na Sida (beware of aids)
Hata hivo mwaka 1988 /1989 (mwaka aliokufa) franco hakukaa kimya aliingia studio na ku record hii nyimbo yake ya mwisho iliyoachiwa 1992 ambapo alijibu tuhuma hizo . Ifuatayo ni tafsiri yake
Mboka epanzani sango eeeh eh
Mboga epanzani sango
(The town is spreading rumours about me eeh)
Balobi akati lopitalo eh
(They are saying he is in hospital)
Balobi ba moni ye nga ngaliema eh
(They are saying he was seen in ngaliema(main hosp in kinshasa)
Balobi akende Bruxelles oh(they are saying he has gone to Bruxelles) for treatment
Balobi ba moni ye na anvers oh(they are saying he has gone to anves )hii ni hospitali huko Antwerp Belgium
Balobi akende paris eh (they are saying he has gone to paris) for treatment
Balobi ba moni ye na Geneve (they are saying he was seen in Geneve)
Balobi Akende na america eh (they are saying he has gone to America )
Parti etat,efuteli ye ticket oh(he has received his departure ticket) kapokea ticket ya kifo
Swela obota ngai ,ngai makila mabe maman(swela you gave birth to me,i was born with bad blood) swela ni mama yake franco ,hii ina maanisha maisha yangu yamejaa matatizo
Ebele ya bato,balingi ngai te(there alot of people who do not like me)
Lelo na moni na miso maman(today i have seen with my own eyes mother)
Nasala nini mokili(what will i do with the world)
Zairois nalinga ke na tango ya bisengo eh(zaireans will like you during times of happiness)
Malade ba kongi yo(when you become sick)
Akomi ko seka yo eh(they laugh at you)
FRANCO'S SECOND SOLO
Ebele ya malade bo kabeli ngai na nzoto Baninga (my body has been overcome by various types of sickness)
Na sala nini na mokili(what will i do oh world)
Nzambe asala moto po abutuma(God created man to be born)
Nzambe asala moto pe azua malade(God also created man to become sick)
Nzambe asala moto azwa pasi ndenge na ndenge (God also made man to get various types of problems)
Ya ngai sango epanzani mokili mobimba(but when it happens to me the news travel all over the world)
Ba mosusu bako seke(some people are laughing)
Ba mosusu bako finga ngai(some people are saying bad things about me)
Mpo na zwi mpasi na mokili(because problems have ovecome me on this world)
Na sala nini bandeko(what will i do brothers and sisters)
Ba zairois ba kabeli ngai liwa mbala motoba(zaireans tried to give me death six times before)
Nzambe adimi te(but god did not let them)
Azali ko tala ngai(he was looking after me)
Na sala nini mawa(what will i do oh problems)
Nani alobelaka bango likambo oyo na se ya pongi (who told them all these while sleeping)
Nzambe asala bato mabe na mokili(God created bad people in the world)
Asala pe bato malamu na mokili(he also made good people in the world)
Bato atinda na zaire mosala ko seka bato ya maladi (the people he created in zaire they always laugh at sick people)
Bato atinda na zaire ko seka bato ya mpasi(the people he created in zaire they always laugh at people with problems)
Balobi na bengisi bana na sali testement(they are saying that i called my children to give them my last will and testement)
Na pesa mwana na mwana eloki alingi(that i gave my children whetever that they wanted)
NB nime summarise ni ndefu mno
Nimejaribu kuweka Audio humu inagoma ngoja nitafute video niilete ukiisikiliza utagundua sauti yake imeisha kabisa View attachment 798526View attachment 798527
I think soHizo nyumba bado familia yake inazimiliki kweli ?
na mm nashangaaKuna ukimwi wa kurogwa?
Niliusikia. Hapa nina mmoja nausikiliza unaitwa ngugi ameimba na tabu ley emu utafute.mkuuwimbo wA Franco alioutoa 1989 unaitwa attention nA sida (jihAdhari na ukimwi) wimbo huo unasikitisha anaonya watu kuhusu ukimwi,Anajuta kwa mungu kwann ukimwi umewepo,ameimba kwa mafumbo sana huo wimbo
ngugi ninao nyimbo za Franco ninazo kama 100 hivi ,huo wimbo ngugi anawapa dongo watu wanaodhani kuwa ana ugomvi nA tabuleyNiliusikia. Hapa nina mmoja nausikiliza unaitwa ngugi ameimba na tabu ley emu utafute.mkuu
Ooh bado sijaipata tafsiri yake yotengugi ninao nyimbo za Franco ninazo kama 100 hivi ,huo wimbo ngugi anawapa dongo watu wanaodhani kuwa ana ugomvi nA tabuley
ngoja nisome beti zote then ni summarizeOoh bado sijaipata tafsiri yake yote
Ngumu sana.kwanza hata official videos sidhani kama alitoa.Hivi live show zake nyingi ni ngumu kupatikana?