Wimbo wa mwisho wa Franco

Mazee lucas mobutu asante sana kwa kazi ya tafsiri.

Umenikumbusha zamani sana gazetila SANI lilikuwa linafanya jitihada za kutifundisha Kilingala.

Niliambulia kidogo "Sango nini? Sango na ndako yayo?

Kwa kupitia muziki, hasa sisi tunaopenda kufuata mashairi ya nyimbo, mtu anaweza kujifunza lugha na tamaduni za watu wengi tofauti.
 
Franco alikufa ngoma kama na wanabendi wake walivyomfuata.
Walitafunana sana na wacheza show wao.
Watu wanasema wamerogwa na ukimwi 2018 sembuse 1987?
Wakati ndio unaanza?
Dalili alizokuwa nazo ndio zile zile za ngoma ya miaka ya mwanzo
 
Franco alikufa ngoma kama na wanabendi wake walivyomfuata.
Walitafunana sana na wacheza show wao.
Watu wanasema wamerogwa na ukimwi 2018 sembuse 1987?
Wakati ndio unaanza?
Dalili alizokuwa nazo ndio zile zile za ngoma ya miaka ya mwanzo
haswaa ni ngoma
 
Ma
tata ya mwasi haikuwa malalamiko ya franco kutopata mtoto wa kiume. Hii wimbo ulikuwa unsemea ugomvi kati ya mwanamke na mwanaume hautaisha duniani.(matata ya mwasi na mobali esili te na mokili. Nitaandika shairi moja kwa ufupi
Likambo nini nzambe osala biso mibali, Tosalelaka basi.
Mungu sisi wanaume mbona unatufanya Hivi, sie kazi tunawafanyia wanawake.
Bango baliaka balataka
Wao kazi yao ni kula na kuvaa tu
Biso mbula mobimba pantalon moko na nzoto
Sie mwaka mzima tunashindia suruali moja mwilini
 
Ngumu sana.kwanza hata official videos sidhani kama alitoa.
Nadhani ukizitaka live show mpaka congo,youtube hazipo kabisa
Nina vidéo yake ya 7_5_ 1987 Aki perform jijin Utrecht uholanzi,kipindi hicho bdo alikuwa na afya sema kui appload hapa vidéo nashindwa
 
Nina vidéo ya mazishi yake kwanzia ndege inapowasili ndiji airport had kuzikwa
Mkuu, kuna huu wimbo unaitwa kinsiona,ni dedication ya franco kwa bavon marie
Munu muntu n’leki amo ta dil
I am crying over my little brother

Bavon Marie ta ndile
I am crying over Bavon Marie-Marie

Bevwanda mu fongo mono kwani batabinge
Mono kuamu bata bonge
They are in a meeting waiting for me
While I am grieving, they are conspiring and waiting for me

Eh kinsiona
What great sadness [melancholy, hardship]

Eh kinsiona,belomba lusadisu yaye kue?Keti na batelamoe ?
Such sadness. Where would they* go for support?
Who would they* tell?

He dio kanda kala ye ngangu
You the family, be careful, be alert

Mbadi tata,kadi mama,kadi ngwa kansi,kadi nketo
Without father, mother, uncle or wife

Belomba lusadisu yaya kwe banani batelamo
Who would they* go to for help?
Who would they* confide in?

Kinzonzi ki bambuta,kala ye makutu,kala ye ngangu
During the assembly of the elders, open your ears and be wise

Bubagoga bawu, usiama ukola
When they speak it is so that you grow and mature

Djo gata mambu manunini
There are too many problems in this village; who could survive it?

Banani basala mo ?
Who could survive it?

* “They” refers to the immediate family of the deceased, as opposed to the extended family and the entire village who took part in the mourning discussions. If the deceased is an orphan, which elder could defend their relatives?
 
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…