Wimbo wa mwisho wa Franco

Naam Bavon Marie akikufa kwa ajali baada ya kuendesha gari akiwa mlevi kutokana na stress za kugombania hawara na Hayati franco,baada ya kifo chake franco alikaa MDA mrefu bila kutoa WIMBO wowote akiwa na huzuni tele ndipo akaja kutoa ule WIMBO nadhani KIMPA KIMSANGAMEN huo WIMBO unaeleza kuhusu masuala ya uchawi,uchawi umetafuna family
 
Mkuu,uliadimika mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…