Hhhhhaaa kwa hiyo arudie huyooo
Nasubir aandike vizur hyo michambo, maana mi naona warumi tu sijui kafanyaje
Mkuu karekebishe halafu rejea sie tupo....haswaa mie nipo nasubiri daku ....
Wachaaa weee...mambo ya Dhul'hija hayooo....au daku la Wakubwaaa?
Lol apana la Dhul'hija ndugu yangu siunajua tena mambo yaku staghfiruu , inshallah mwenyezi mungu atuwezeshe tufungee kea salama na Touba zetu zipokelewe ya rabb...
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao.
WARUMI kama wewe ni muungwana pamoja na wenzako naomba muombe radhi mana kama miezi kadhERaa nyuma kulitokea izi wenye kichwa cha HABAI....GADNER ANAPOKULA PESA ZA WATU WA JIDE...IMEJIELEZA vizuri sana ulisimama kaka weye kama wewe bdo uliyedhuumu na tukakuelezeasaa maazi waliyokuwa wamevaa ni meupe a mwisho kuna mambo kama ya happybithdayukakazaa hapana ni wimbo wa HISTORIA ukabeba bango..
HAYA sasa wimbo ulishatoka wahusika wameoekana hasa mwishoni hata soni huna umeuchuna tu.
Next time dont INTERFERE!
Kwa walioelewe ebu tufahamisheni na sie tuelewe maana nimetoka kapa!
Sijaelewa chochote hapa. Kama kuna aliyeelewa anisaidie kunijuza.
Ova
Hivi walimu wa darasa la pili wa somo la mwandiko wanafanya kazi zao ipasavyo.
Wanafunzi nao watoro siku hiziii
Binamu nshavurugwaaaaaa
Na nanii?? Wapotezee ona sasa ushakula ban yaan hujawazoeaga watu wa jamii forum tu
Binam kala ban?
Na nanii?? Wapotezee ona sasa ushakula ban yaan hujawazoeaga watu wa jamii forum tu
Hii ban imezaliwa na thread hii au kuna nyingine?duh hii thread sijaielewa naona ban tena kweli JF kimuhemuhe.
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao.
WARUMI kama wewe ni muungwana pamoja na wenzako naomba muombe radhi mana kama miezi kadhERaa nyuma kulitokea izi wenye kichwa cha HABAI....GADNER ANAPOKULA PESA ZA WATU WA JIDE...IMEJIELEZA vizuri sana ulisimama kaka weye kama wewe bdo uliyedhuumu na tukakuelezeasaa maazi waliyokuwa wamevaa ni meupe a mwisho kuna mambo kama ya happybithdayukakazaa hapana ni wimbo wa HISTORIA ukabeba bango..
HAYA sasa wimbo ulishatoka wahusika wameoekana hasa mwishoni hata soni huna umeuchuna tu.
Next time dont INTERFERE.