warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hhhhhaaa kwa hiyo arudie huyooo
Hiyo kesi naikumbuka vizur, tena niliingilia kati nikaahidi kuwasaidia hao jamaa waliodai wametapeliwa na jide, nika piga screen capture nikamtumia choka nakumbuka kipindi kile yupo kwa jide, mimi ndo niliyewasaidia wakalipwa kama walivyodai, maana wenyewe walikuwa hawajui chochote, sasa apa sijui analalamika nini