Mimi niusiliza kwa masaa 12 nikesha nao saiz .nimeuacha tu. Unaimba. Mimi nakupenda sana Rais wetu Samia. Naomba Serikali na Rais wamusamehe Nay wa mitego amekutuka Rais wetu.ila Tanzania lazima tujue Nay wa mitego ni Hazina ya Taifa.huyu ndio Mbunge wetu anatupekea mawazo yetu kwa Serikali. BASI Nay wa mitego aishi milele